BARAKA DE PRINCE ATOAMASHARTI KAMA UNATAKA KUSHIRIKIANA NAE

Mwimbaji Baraka De Prince Amefunguka na kusema kuwa ili ufanye nae Collabo kwenye wimbo wako ni lazima kwanza ausikilize wimbo wako alafu aupende , asipoupenda hata umpe hela yoyote hawezi fanya Colloba na wewe, Ameongeza kwa kusema kuwa hata kama ukipitia kwa management yake kama wimbo ni mbaya hafanyi Collabo
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment