CHELSI YAMTANGAZA CONTE KUWA KOCHA MKUU WA TIMU HIO MSIMU UJAO

conte-appointed.img
Antonio Conte
Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyoJose Mourinho  miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa mudaGuus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelsea umetangaza kocha wa kudumu atakayejiunga na klabu hiyo mwishoni mwa msimu.
Chelsea imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha wa timu ya taifa ya ItaliaAntonio ConteChelsea imempa mkataba Conte ambaye atajiunga na timu hiyo baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika akiwa anaiongoza timu ya taifa ya Italia katika michuano hiyo.

“Klabu ya Chelsea na soka la Uingereza kwa ujumla unaangaliwa sana popote uendapo, mashabiki wa soka Uingereza wanamapenzi na soka kweli, natumaini nitafurahia mafanikio hapa kama ilivyokuwa Italia”  >>> Antonio Conte
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment