Mchezaji wa kikapu wa Tanzania aliyetamba katika ya mchezo huo kwenye Ligi ya Marekani (NBA) miaka michache iliyopita, Hasheem Thabeet amesema madhumuni ya kuwapo nchini ni kukutana na viongozi wa Serikali na kufanya mazungumzo nao kwa ajili ya kuangalia jinsi ya kusaidiana kuinua michezo nchini.
Akiwa NBA, Hasheem alizichezea klabu za Memphis Grizzlies, Houston Rockets, Portland Trail Blazers na Oklahona City Thunder.
“Haiwezekani, Watanzania zaidi ya milioni 45 tushindwe kuwa na wachezaji wanaocheza nje ya nchi, ni kitu cha kushangaza,” alisema Thabeet.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment