HABARI PICHA: SHUGHULI ZA KIUJASIRIAMALIII

shughuli za kijasiriamali zikiendelea  na huyu ni bi mery kumoso akifanya shughuli ya kuuza dawa ili aweze kujikwamua kimaisha picha na veronica shoo



DARUBINI MEDIA TZ

huyu ni mmoja kati ya wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ajtc bi happy shilinde akipata huduma ya dawa picha na veronica shoo

hawa ni baadhi ya wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha wakiwa 
wanatolewa nakala karatasi zao katika moja ya duka la mjasiriamali jijini arusha
picha na veronica shooo

mmoja kati ya mjasiriamali mkabala na chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha ambaye amefungua saloon yake kwa ajili ya kusuka ili aweze kujipatia kipato picha na veronica shoo

mmoja kati ya mwanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha akisukwa katika saloon na mjasiriamali aliyopo mkabala na chuo hicho picha na veronica shoo


mmoja kati ya kijana mjasiriamali akipika vyakula kwaajili ya wateja ili waweze kupata kipato cha kuweza kujikimu kimaisha picha na veronica shoo

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment