HATIMAE OSCAR PISTORIOUS AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 6 GEREZANI. Unknown 3:27 AM Add Comment MICHEZO Edit Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, leo amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kosa la kumuua mpenzi wake.Alimuua kwa kumpiga risasi mchumba wake, Reeva Steenkamp miaka mitatu iliyopita SHARE SHARE SHARE Unknown RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment